Java Netbeans Desktop Application CRUD in swahili

Utangulizi

Teknolojia Nyumbani ni Blog ambayo inahusiana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA). Lengolikiwa ni kubadilishana ujuzi kwa watumiaji wa Kiswahili. Blog nyingi zina maelezo ya Kiingereza. Hivyo Kutokana na kutumia Lugha yetu tunaweza kuelewa zaidi na kujitawala zaidi kifikra.

Ujue Programming

Katika Plagramiming tutaweza kubadilishana ujuzi wa lugha za Java.